mahabara hii ilifadhiliwa na pesa za LATF za baraza la kwale ikitazamiwa kutumika hasa wakati wa mtihani wa kidato cha nne mwaka wa 2010 lakini la kufurahisha ni kwamba hata kufikia leo jengo hilo limebaki ni picha tu ya kuonyesha wageni . Hii si kwa sababu walengwa hawataki kutumia lakini kwa sababu jengo lilivyo halistahili kutumika kwa hali yake  mbovu.

Maombi ya jengo hili yalifanywa na halmashauri ya shule hiyo wakiomba millioni tatu . La kustajabisha ni kwamba mwenye kandarasi alilalamika kwamba makadirio hayo ni ya chini na kuongezewa hadi millioni tatu unusu.Swali ni je?mbona pia hazikutosha ilkuaje.KYGC walipojaribu kumhoji mwalimu mkuu kuhusu kuhusika kwao katika ufuatiliaji wa mradi huo alisema kwamba kama yeye akiwa mwalimu mku akuhusishwa na hata leo hajaona stakabadhi iliyo na makadirio ya ujenzi yaani BQ je itakuwa mzazi.

Advertisements